Search

186 results for Mustafa Mtupa :

  1. Arnold alikuwa na misuli iliyobeba pesa

    CALIFORNIA, MAREKANI. ARNOLD Schwarzenegger ni moja ya majina makubwa kwenye tasnia ya filamu. Dunia inamtambua. Miaka ya 1970 hadi 1990 aliiteka dunia kwa filamu zake za mapambano, anzia...

  2. Arsenal, Man City vita bado ngumu

    VITA ya ubingwa ndani ya Ligi Kuu England imeendelea kuwa tamu, hiyo ni baada ya Arsenal na Manchester City zote kushinda mechi zao leo huku tofauti ya pointi ikiwa ni moja tu kileleni kwenye...

  3. Sarr aipa Simba milioni 50 za Muungano

    BAADA ya kufunga bao pekee katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano, kiungo wa Simba Babacar Sarr ameiwezesha timu hiyo kuvuna kitita cha Sh50 milioni ambayo ni zawadi ya mshindi ya bingwa.

  4. Undani wa ugomvi wa Morocco, Algeria ni huu

    NAKUMBUKA ilikuwa Januari 2022, wakati mashindano ya AFCON 2021, yanaendelea kule Cameroon. Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kati ya Algeria na Ivory Coast kumalizika na kupoteza kwa mabao 3-0...

  5. Liverpool yajiweka pabaya ubingwa EPL

    Matokeo ya Liverpool yamezidi kumvurugia kocha wao Jurgen Klopp ambaye alikuwa na matumaini ya kuondoka mwisho wa msimu huu akiwa na ubingwa wa Ligi Kuu, lakini sasa mpango huo unaonekana kuingia...

  6. PRIME Bolly Collins bondia aliyepofuka macho kwa ngumi, akaamua kujiua

    ILIKUWA Juni 16, 1983 katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, Marekani, Billy Collins Jr akiwa na baba yake aliyekuwa bondia wa zamani, Collins Sr walikuwa ukumbini tayari kwa...

    New Content Item (1)
  7. Moto ulivyowaka kwenye dabi zilizopigwa wikiendi

    ACHANA na kipute cha Yanga na Simba cha Kariakoo dabi kilichopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumamosi iliyopita, dunia ya wapenda soka ilishuhudia dabi za kutosha kwa wikiendi...

  8. CAF yaomba radhi baada ya Berkane kususia mechi

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeomba radhi wadau wa soka baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Shirikisho kutofanyika baada ya klabu ya RS Berkane kugoma kucheza...

  9. Ni fainali ya 'Manchester Derby' kombe la FA

    LONDON, ENGLAND. BAADA ya kushinda kwa penalti mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Converty City, rasmi sasa Manchester United itakutana na Man City kwenye fainali ya michuano...

  10. Yanga, Simba kutangulia dabi nyingine tano duniani wikiendi hii

    Wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kutakuwa na Dabi ya Kariakoo, ikiwa ni dabi ya tano Afrika kwa ukubwa, macho na masikio ya kundi kubwa la mashabiki wapenda soka...

Page 1 of 19

Next